Polisi walaumiwa kwa mauaji Kenya
Tangu shambulizi la Westgate, harakati za kudhibiti ulinzi zimekuwa zikikosolewa
Shirika
la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limewalaumu polisi wa
kupamba na ugaidi nchini Kenya kwa kufanya mauaji ya kiholela.
Human
Rights Watch inasema kuwa pia imepata ushahidi wa watu kutoweka kwa
lazima, kushikwa bila sababu na kudhulumiwa kwa washukiwa.
Shirika
hilo pia linasema kuwa watoa misaada wa kimataifa wanastahili kusitisha
misaada yao kwa polisi wa kupambana na na ugaidi kikosi kilichobuniwa
baada ya kushambuliwa kwa ubalozi wa marekani mjini Nairobi mwaka 1998.
CHANZO:BBC
No comments:
Post a Comment