TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Friday, August 28, 2015

Usain Bolt kwenye headlines tena Beijing China 

Mwanariadha kutokea Jamaica Usain Bolt August 28 amerudi tena katika headlines za mchezo wa riadha, Bolt ameshashinda medali nyingi za riadha ila August 27 Beijing China alithibitisha ubora wake kwa kushinda mbio za mita 200 na kupata medali ya dhahabu kwa mbio hizo.
2BB59D2B00000578-3212911-image-a-37_1440689402646
Bolt aliyekuwa na upinzani mkali kutoka kwa mwanariadha kutokea Marekani Justin Gatlin alishinda medali ya dhahabu ya ubingwa wa dunia kwa mita 200.
2BB54A6700000578-3212911-image-a-10_1440681919799Mjamaica huyo amewahi kushinda medali zaidi ya kumi za dhahabu katika mbio za mita 100 na mita 200. Ila wakati anashangilia ushindi huo alipata ajali, baada ya Camera Man kumgonga kwa bahati mbaya wakati Bolt anashangilia huku Camera Man akimchukua picha za video.
2BB59B3700000578-3212911-image-m-31_1440689180130
2BB5DDB700000578-3212911-image-a-1_1440686650485
2BB59B8D00000578-3212911-image-a-65_1440685249105

No comments:

Post a Comment