TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Thursday, August 13, 2015

Nimekusogezea picha za boti ya kifahari ya mmiliki wa klabu ya Chelsea 

Bilionea wa Kirusi ambae pia ni mmiliki wa klabu ya Chelsea ya Uingereza Roman Abromavich hajaishia tu kupenda kununua wachezaji mastaa waje kucheza katika klabu yake bali anapenda kumiliki vitu vizuri na vya thamani, Abromavich ana miliki vitu mbalimbali vya thamani.
roman_abramovich_2071645b (1)
Abromavich ana utajiri mkubwa na anaonekana kutimiza kila hitaji la moyo wake unalo hitaji kwa wakati husika japo kitu pekee ambacho pesa zake zimeshindwa kununua ni aina ya mfumo wa uchezaji wa FC Barcelona na kuupeleka Chelsea kwani asilimia kubwa ya makocha wanaoingia katika timu hiyo huwa hawafanikiwi kuuleta ile aina ya soka la kuvutia wanalo cheza klabu ya FC Barcelona.
roman 2
August 12 nimeona nikusogezee picha za boti binafsi ya Bilionea anayeimiliki klabu ya Chelsea boti ambayo imefungwa mitambo maalum ya kuzuia mtu au paparazi akipiga picha haitokei lakini pia ina sehemu ya kutua helcopter juu ya hiyo boti, Roman Abromavich aliwahi kuja kupanda mlima Kilimanjaro Tanzania.
Abramovich+mega+yacht+Eclipse+P-Hrbjje_Vwl
Abramovich+mega+yacht+Eclipse+0ZYGZX_VSBPl
Abramovich+mega+yacht+Eclipse+bZLTjKSdlPal
Abramovich+mega+yacht+Eclipse+lysyho1Kdirl
Abramovich+mega+yacht+Eclipse+M3lnTONhWAhl
Abramovich+mega+yacht+Eclipse+r3qry4cLZkcl
Abramovich+mega+yacht+Eclipse+ikgQakgZI87l

No comments:

Post a Comment