TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Friday, August 7, 2015

Pichaz nyingine kutoka Mlimani City Dsm… Wasanii wanavyomuaga Rais Kikwete !

DSC_0753
Rais Jakaya Kikwete ameandika Historia yake nzuri kwenye kipindi cha Uongozi wake TZ, mara nyingi amekuwa karibu na wasanii wa TZ pamoja na wanamichezo pia.
Amebakiza kama miezi mitatu hivi kumaliza muda wake wa Uongozi, Rais JK amealikwa na Muungano wa Wasanii Tanzania, imeandaliwa hafla maalum ya kumuaga Rais pamoja na kumpongeza Mgombea Urais aliyeteuliwa na CCM, Dk. John Pombe Magufuli.
DSC_0741
Kila kinachoendelea ndani kinanaswa na unasogezewa papo hapo, hizi ni pichaz za kwanza kwanza kabisa mtu wangu toka ndani ya Mlimani City!!
DSC_0741
DSC_0764
DSC_0774
DSC_0785
DSC_0800
DSC_0809
DSC_0815
DSC_0820
DSC_0823
DSC_0826
DSC_0828
DSC_0833
DSC_0836
DSC_0725
DSC_0841
DSC_0845
DSC_0846
DSC_0851
DSC_0857
DSC_0863
DSC_0866
DSC_0971
DSC_0978
DSC_0982

No comments:

Post a Comment