TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Friday, August 28, 2015

Ashley Young, Morgan Schneiderlin wa Man United waungana na wachezaji wengine katika mashindano ya ADIDAS (Picha)

Kampuni ya vifaa vya michezo ya Kijerumani ADIDAS ambayo ni wadhamini wa vilabu kadhaa vya soka barani Ulaya imeandaa mashindano maalum ya kutangaza jezi mpya za timu walizozidhamini. Mashindano hayo ni ya tofauti na sio kama tuliyoyazoea kwani yalikuwa yakihusisha wachezaji wawili wawili.
2BB6CBC200000578-3213582-image-a-95_1440717985416
Wachezaji wa vilabu vya Man United, Chelsea, AC Milan, Bayern Munich na Real Madrid kila klabu ilitoa wachezaji wawili kushiriki katika mashindano ambayo ADIDAS waliyapa jina la be the difference ilikuwa kwa ajili ya kuzindua jezi za tatu za timu zilizodhaminiwa na Adidas.
2BB8352C00000578-3213582-image-a-66_1440717220333
Wachezaji waliyohudhuria mashindano hayo yaliyofanyika Marseille Ufaransa ni Ashley YoungMorgan Schneiderlin wa Man United, Victor Moses, Cesar Azpilicueta wa Chelsea na Riccardo Montolivo na Philippe Mexes wa klabu ya AC Milan.
2BB82D3D00000578-3213582-image-a-63_1440717142412
2BB82D6D00000578-3213582-image-a-3_1440718146019
2BB82FB500000578-3213582-image-m-57_1440716972327
2BB827D900000578-3213582-image-m-60_1440717052852
2BB8258300000578-3213582-image-a-53_1440716874564
2BB8231800000578-0-image-a-50_1440716725613
2BB64A2100000578-3213582-image-a-12_1440719253231
2BB824D000000578-0-image-a-47_1440716666453

No comments:

Post a Comment