TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Friday, August 7, 2015

Rais JK alivyopiga selfie mojamoja na Wasanii kwenye party 

DSC_0889
August 6 2015 Mlimani City Dar  es Salaam, Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete amekutana na wasanii ambapo kilichofanyika hapo ni hafla ya kumuaga Rais JK ambapo imebaki kama miezi miwili hivi amalize awamu yake ya uongozi, hapa kuna picha Rais alivyopita meza mojamoja na kuwapa mikono pamoja na kupiga picha na wasanii mbalimbali.
DSC_0885
Rais Kikwete akiwa ameongozana na Waziri John Magufuli, Abdulrahman Kinana, Naibu Waziri January Makamba na DC Paul Makonda.
DSC_0884
.
DSC_0891
.
DSC_0907
Rais JK akaanza kupita meza moja moja kusalimiana na watu wote waliopo ndani ya Ukumbi.
DSC_0908
Wengine wakapata na Selfie kabisa.
DSC_0919
Malaika kwenye pozi la selfie na Mr. President.
DSC_0948
Rais JK akisalimiana na Diamond Platnumz.
DSC_0939
Rais JK anasalimiana na Mzee Yusuph.
DSC_0978
Rais JK na mwigizaji Dokii.
DSC_0976
Rais JK na mwigizaji Kitale.
DSC_0974
Ben Pol, G Nako na Rais JK kwenye pozi la Selfie, pembeni yuko Daian Soul.
DSC_0916 DSC_0922 DSC_0923 DSC_0944 DSC_0954 DSC_0955 DSC_0956 DSC_0961 DSC_0962 DSC_0964 DSC_0973

No comments:

Post a Comment