TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Thursday, August 13, 2015

Imetolewa Top 3 ya wanaogombe tuzo ya uchezaji bora ulaya – Messi, Ronaldo, Neymar, Suarez nani kaingia? 

Hatimaye shirikisho la soka bara UEFA limetangaza majina matati ya wachezaji wanaowania tuzo ya mchezaji bora msimu ulioisha ndani ya mipaka ya bara hilo.
 
Kwa mujibu wa taarifa rasmi iliyotolewa na UEFA – majina ya Cristiano Ronaldo, Lionel Messi na Luis Suarez ndio yaliyofanikiwa kuingia kwenye 3 bora itakayopigiwa kura mpaka kupatikana kwa mshindi wa tuzo hiyo mwaka huu. 
Messi na Suarez kwa pamoja walifanikiwa kuiongoza FC Barcelona kutwaa makombe matatu msimu uliopita kabla ya jana usiku kuongeza kombe la 4 – huku Ronaldo ambaye alikuwa alitwaa tuzo hiyo msimu uliopita akiibuka mfungaji wa La Liga msimu uliopita akifunga magoli zaidi ya 40.
Majina mengine ya wachezaji walioingia kwenye listi ya wachezaji 36 waliopigiwa kura 
 UEFA pia imetangaza majina 3 ya wachezaji wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa ulaya upande wa wanawake.
  – Celia Sasic (GER)
  • Dzsenifer Marozsan (GER)
  • Amandine Henry (FRA)

No comments:

Post a Comment