MOHAMED MATUMLA AMGALAGAZA NASSIBU RAMADHANI AIBUKA NA PIKIPIKI 
            
Bondia Mohamed Matumla kushoto 
akipambana na Nassibu Ramadhani wakati wa mpambano wao uliofanyika siku 
ya sikukuu ya krismas na kugombania pikipiki yenye thamani ya shilingi 
milioni 1.9 Matumla alishinda kwa pointi mpambano huo na kuibuka na 
bodaboda. (HM)
         
 
 
 
          
      
 
  
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment