BASI JIPYA LA AZAM FC "KAMA ULAYA" 
            
Basi jipya la wachezaji wa klabu ya 
Azam FC ya Dar es Salaam, lililowasili nchini juzi likiwa tayari 
kusafirishwa visiwani Zanzibar ambako timu hiyo imekwenda kushiriki 
Kombe la Mapinduzi. Hili ni aina ya mabasi ambayo yanatumiwa na klabu za
 Ulaya kama Manchester United, Bayen Munich na Barcelona ambalo kwa 
Afrika Azam inaweza kuwa klabu ya kwanza kulimiliki. (HM)
         
 
 
 
          
      
 
  
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment