TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Saturday, August 18, 2012

SWALA YA EID EL FITR KITAIFA KUFANYIKA MKOANI RUVUMA.























Swala ya Eid El Fitr na Baraza la Eid Kiaifa mwaka huu vitafanyika Masjid L - huda Msikiti wa Bakwata Songea katika Mkoa wa Ruvuma. 
Aidha kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Waislam Tanzania Suleiman Lolila, Swala hiyo itafanyika kati ya tarehe 19 au 20 Agost 2012 kutegemea mwandamo wa mwezi.
Taarifa hiyo imefafanua kuwa Baraza la Eid litafanyika kati ya tarehe hizo kuanzia saa kumi kamili alasiri na Mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Mkuu wa Mkoa Ruvuma Mhe. Said Mwambungu.

No comments:

Post a Comment