TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Monday, August 13, 2012

MSAMA PROMOTION WAKAMATA CD NA DVD FEKI ZA KAZI ZA WASANII ZILIZOINGIZWA SOKONI,JIJINI DAR ES SALAAM.



















Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion , Bw. Alex Msama akionyesha CD na DVD feki za kazi za wasanii zilizoingizwa sokoni zenye thamani ya Sh. Million 11 huko Mbagala Jijini Dar es Salaam.

Zoezi hili la kukamata CD na DVD hizo linaendeshwa na Kampuni hiyo kwa kushirikiana na Polisi , likiwa na lengo la kuwadhibiti wezi wa kazi hizo za wasanii nchini. 

No comments:

Post a Comment