TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Sunday, August 26, 2012

RAIS KIKWETE NA FAMILIA YAKE WAHESABIWA SENSA YA WATU NA MAKAZI
















Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mkewe Mama Salma Kikwete na familia yake akijibu maswali toka kwa karani wa sensa ya watu na makazi Bw. Clement Ngaliba Agost 26,1012.(Picha na Ikulu)
























Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Mohamed Gharib Bilal akijibu maswali toka kwa karani wa sensa Happiness Masaka .
Viongozi hao wamejiunga na mamilion ya watanzania katika zoezi la kuhesabiwa litakalodumu kwa muda wa siku saba. ambapo zoezi hilo kwa jana lilianza kwa mafanikio makubwa.

No comments:

Post a Comment