TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Saturday, August 18, 2012

RAIS DKT.JAKAYA KIKWETE NA RAIS JOYCE BANDA WA MALAWI WAKUTANA MSUMBIJI NA KUZUNGUMZIA MGOGORO WA MPAKA
 Rais Kikwete akutana na Rais Banda mjini Maputo,Msumbiji leo kuzungumzia kutafuta suluhu katika mgogoro wa mpaka kati ya nchi hizo mbili Tanzania na Mawali uliopo katika Ziwa Nyasa. Aidha nchi hizo zipo katika kutafuta suluhu kwa njia za Kidiplomasia kupitia kamati maalumu iliyoundwa kushughulikia mgogoro huo. picha na Freddy Maro.

No comments:

Post a Comment