TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Tuesday, August 21, 2012

DK. DALALY KAFUMU AVULIWA UBUNGE JIMBO LA IGUNGA, MKOANI TABORA.
































Mahakama Kuu ya Kanda ya Tabora imetoa hukumu ya kesi ya ubunge iliyokuwa ikikmabili mshindi wa Ubunge jimbo la Igunga,DK. Dalaly Peter Kafumu (CCM). Hukumu hiyo ambayo ilikuwa ni ya kupinga matokeo yaliyompatia ushindi DK. Kafumu imetolewa leo ambapo imemuengua mbunge huyo katika nafasi yake ya ubunge .
Shauri hilo lilifunguliwa na mlalamikaji Joseph Kashindye ambaye alikuwa mgombea mwenzie dhidi ya Dk.Kafumu.

No comments:

Post a Comment