Mastaa wa tennis duniani nao wanamiliki hii mijengo ya kifahari…Pichaz
Mchezo Tennis ni miongoni mwa michezo inayopendwa sana hasa kwa nchi zilizoendelea ukiachana na mpira wa miguu..
Kuna mastaa wengi wamefanikia kwa kiasi kikubwa kupitia mchezo huo
ambapo mbali ya utajiri mkubwa walionao kupitia mishahara na makampuni
wanayotangaza, pia wamewekeza zaidi katika majumba ya kifahari kama
walivyo wachezaji wa soka na wengine.
Hii ni mijengo ya baadhi ya mastaa wa mchezo wa Tennis

Hii ni nyumba ya Roger Federer ipo Switzerland

Mjengo wa Andre Agassi upo katika mji wa Tiburon, Carlifonia

Andy Murrary anaishi hapa

Nyumba ya Serena na Venus Williams ipo West Palm Beach, Florida

Hii ndio nyumba anayomiliki Rafael Nadal

Mjengo wa Maria Sharapova ipo Carlifonia

Mjengo anaomiliki Anna Kournikova ipo Miami

Mjengo wa Novak Djokovic ipo Ujerumani

Nyumba ya Pete Sampras
No comments:
Post a Comment