TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Saturday, October 10, 2015

Mambo ni moto mtu wangu !! Hili ndio chimbo tutakaposhuhudia Mshindi wa BSS 2015 leo.. (Pichaz)

Zimebaki saa chache kushuhudia Fainali za Mashindano ya Bongo Star Search 2015… umepata ticket yako??? Kama jibu ni YES basi good news ikufikie kwamba kila kitu kimekamilika tayari, nimegusa nje mpaka ndani nikaona hii sio ya kunipita wala sio ya kukupita mtu wa nguvu unaependa Burudani.
Usiku wa leo tunakutana Ukumbi wa King Solomon Hall NAMANGA, Dar es Salaam… October 09 2015 mambo yako tayari kwa ajili ya Mshiriki mmoja kuibuka na Ushindi na kutangazwa mshindi anayefunga Historia ya headlines za BSS 2015.
Hizi hapa pichaz mtu wangu, nje mpaka ndani mambo ni motomoto !!
3X6A0584
Kuhusu Red Carpet je? YES, hapo kitu kinamaliziwa sasahivi..!!
3X6A0579 3X6A0582 3X6A0587 3X6A0588 3X6A0589 3X6A0590 3X6A0591 3X6A0596 3X6A0597 3X6A0599 3X6A0600 3X6A0602 3X6A0603 3X6A0609 3X6A0615

No comments:

Post a Comment