MATUKIO YA KUSIKITISHA HAYA KWA WASANII NI VILIO TUPU MWAKA HUU
![]() |
| Marehemu Steven Kanumba |
![]() |
| Marehemu Mlopelo |
![]() |
| Marehemu John Maganga |
![]() |
| Na huyu ndiye Sharo Milionea, ambapo leo ametufanya tuwe na huzuni kubwa sana kufuatia kifo chake |
Poleni sana Wasanii wetu nchini kwa kuondokewa na wapenzi ambapo ni wachapakazi na vijana mahili katika Tasinia hiyo. Mungu awatie nguvu . Wote kwa ujumla tunamasikitiko makubwa sana kwa matukio hayo, lakini tunasema yote ni mapenzi ya aliyetuumba.




No comments:
Post a Comment