KAZI ILIKUWA HIVI WAKATI WANACHANA WA CCM WAKIMPOKEA JK VIWANJA VYA MNAZI MMOJA
| Baadhi ya viongozi wa CCM wakiingia uwanjani |
| Hao ni viongozi wa CCM wakielekea jukaani |
| Kama unavyoona usalama wa kutosha ulikuwepo |
| Ukiona dalidali hizi ujue Mwenyekiti yupo uwanjani hapo |
| Segere lilikuwepo uwanjani hapo |
| Msanii Marow nae alikuwepo ndani ya nyumba |
| TMK nao ndani ya nyumba |
| T.OT nao walitoa burudani ya kufa mtu |
| Haya sasa hapo |
| Wanachama hao |
| Palikuwa hapatoshi |
No comments:
Post a Comment