MATUKIO YA PICHA KATIKA IBADA YA JUMAPILI KWENYE KANISA LA HABARI NJEMA , LILILOPO MAJOHE KWA WALIOBA
| Kway ya Vijana ya Kanisa ikimba wimbo wa kumsifu Mungu wakati wa Ibada |
| Vijana wakimshukuru Mungu baada ya kufaulu mitihani yao ya darasa la saba |
| Waumini wakiwa wametulia kusikiliza mafundisho ya neno la Mungu katika ibada |
| Mchungaji wa kanisa Starfford Gogson akiwa madhabahuni akihubiri juu ya kugeuza ufahamu kutoka kwnye ufahamu usio sahihi na kuingia kwenye ufahamu ulio sahihi. |
| Maombi maalumu yalifanyika kwa wamama wajasiliamali na mikoba yao |
| Na wa baba pia walifanyiwa maombi maalumu |
No comments:
Post a Comment