Pages

Saturday, August 17, 2013

RAIS BANDA AMKARIBISHA RAIS KIKWETE NCHINI MALAWI
banda 0bb13
Rais Joyce Banda wa Malawi akimkaribisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete amuda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Lilongwe tayari kuhudhuria mkutano wa wakuu wa nchi za SADC leo(picha na Freddy Maro)
P.T

No comments:

Post a Comment