| Mchungaji Starfford Godson Jacob akiwa na mke wake mpenzi, watumishi hao Mungu amekuwa akiwatumia kwa njia ya pekee katika huduma waliyopewa na Bwana |
| Mchungaji akiwa anafundisha waumini neno la Mungu juu ya kuvunja madhabahu za shetani na kujenga madhabahu ya Bwana iliyo takatifu |
| Kwaya ya Vijana ya Kanisa ikiwa inamwimbia Bwana wakati ibada ikiwa inaendelea |
| Waumini wakiungana na Mchungaji wakiwa wapo kwenye maombi ya kuvunja madhabahu na kujenga madhabahu ya Bwana baada ya kupatiwa mafundisho na Mchungaji |
| Maombi yakiendelea |
| Watu wakiwa wameshukiwa na nguvu za Roho Mtakatifu wakiendelea na maombi |
| Watenda kazi wa Bwana wakiwa katika huduma ya maombezi kwa binti aliyekuwa ameshikwa na mapepo |
| Mchungaji akimuombea binti aliyekuwa akisumbuliwa na nguvu za giza |
| Mchungaji akimuombea mama huyu aliyekuwa anasumbuliwa na mapepo |
| Huduma ya maombezi ikiendelea |
| Huduma ya maombezi ikiendelea kwa binti nae aliyekuwa ansumbuliwa na mapepo |
| Binti akitapika vitu vichafu alivyolishwa na mapepo wakati nguvu za Mungu zilipomtembelea |
| Mchungaji akimuombea mama huyo mgonjwa aliyekuwa hajiwezi alipoletwa kanisani |
| Huduma ya maombezi ikiendele. |
No comments:
Post a Comment