MATUKIO YA PICHA KATIKA IBADA YA JUMAPILI ILIYOFANYIKA KATIKA KANISA LA GOODS NEWS FOR ALL NATIONS (HABARI NJEMA) LILILOPO MAJOHE - WARIOBA.
| Kwaya ya kanisa ikiimba (GOOD NEWS GOSPEL) |
| Mchungaji pamoja na wazee wa kanisa hilo |
| Wachungaji wa makanisa ya nyumbani (Mtaani) |
| Kijana akifanywa sala ya toba na katibu wa kanisa |
| Mr &Mrs Haule wakitoa ushuhuda baada ya Mungu kuwatendea mambo makubwa, mkewe alikuwa hashiki mimba kwa muda mrefu sana sasa amepata ujauzito baada ya kufanyiwa maombi na mchungaji |
| Waumini wakiwa wanashangilia baada ya kusikiliza shuhuda hiyo |
| Binti Jackline akitoa ushuhuda wake baada ya kufanikiwa kurudi shule kutokana na vipingamizi vya wazazi wake |
| Mchungaji Starfford Godson Jacob ambaye Mungu amekuwa akimtumia kwa namna ya pekee |
| Mchungaji akiwa anawaombea watoto baada ya kupata mafunuo ya roho za mauaji zikiwafuatilia |
| Huduma ya maombezi ikiendelea |
| Huduma za maombezi kwa wenye matatizo zikiendelea |
No comments:
Post a Comment