AC MILAN YAITWANGA PESCARA 4-0 KUCHEZA CLABU BINGWA MSIMU UJAO
Balotelli akifunga bao
Balotelli akisgangilia na wachezaji wenzake
Balotelli
MTALIANO Mario Balotelli amefunga mabao mawili usiku huu ikiwemo penalti babu kubwa, akiiwezesha AC Milan kupata nafasi ya kucheza Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kuichapa Pescara mabao 4-0.
Mshambuliaji huyo wa zamani wa Manchester City alifunga bao lake la kwanza kwa penalti kabla ya kufunga lingine katika mechi ambayo wachezaji wengine waliowahi kucheza Ligi Kuu ya England, Sulley Muntari na Mathieu Flamini walifunga.
Amekuwa na mafanikio tangu arejee Italia na Milan wamekuwa hawafungwi katika mechi ambazo anacheza Serie A, ikishinda nane na kutoa sare tatu. Chanzo: binzubeiry
No comments:
Post a Comment