Pages

Thursday, April 11, 2013

CHRIS BROWN NA RIHANA WAPO PAMOJA TENA

.
Chris Brown na Rihanna ni mastaa ambao hata ripoti ya dunia ya mastaa wa aina hii walioandikwa sana kwenye Internet ikitoka najua watakuwemo kwenye kuongoza, hivi karibuni waliandikwa kwamba baada ya kurudiana waligombana na kutemana kwa muda ila juzi wameonekana tena pamoja wakiwa shopping.
.
.
.
.
.

No comments:

Post a Comment