MEDIA DAY ILIVYOFANA KATIKA VIWANJA VYA LEADERS CLUB
| Wanahabari wa IPP wakiwa kwenye mashindano ya mpira wa netball |
| Wanamichezo wa IPP Media wakiwa katika mapunziko baada ya kutoka uwanjani |
| Bendi ya Etra bongo wakiwa jukwaani chini ya mzee wa farasi Ally Choki |
| Watu kazini hapo |
| Wanahabari wakibadilishana mawazo |
| Wamependezaje wanahabari mpo juu |
| Kila mmoja yupo bize |
| IPP Media wanyakuwa kombe hilo |
| Mashindano ya taarabu yakiendelea hapo |
| Anatafuta mshindi hapo wa kucheza taarabu |
| Wanahabari wa Uhuru wakiwa na furaha kubwa mama Rabia |
No comments:
Post a Comment