SHEREHE ZA MAPOKEZI YA MWAKA MPYA
| Carren akiwa ameweka pozi lake hapo |
| Pole kwa kazi dada Fatma |
| Bize jamani hapo ! Piga mzigo ndugu yangu |
| Mchungaji Mashaka akiwa ameshika kinywaji huku anafuatilia tukio |
| Baby kachukia nyamaza mwanangu |
| Toto na pozi zao hapo Kelvin, Sabrina na Sherato |
| Lala ukue mtoto ni haki yake |
| Ufukwe wa Mbweni huo watu wakijipa raha zao |
| Utulivu ni muhimu natafakari jambo! |
| Sister mage Big up |
| Tutunze asili ya mazingira yetu yanayotuzunguka |
| Magret na Mtoto |
No comments:
Post a Comment