WALTER CHILAMBO NDIYE MSHINDI WA EPIQ BONGO STAR SEARCH
![]() |
| Walter Chilambo (Dar) akikabidhiwa kitita chake cha Sh. 50 million baada ya kuibuka mshindi wa BSS 2012. |
![]() |
| Mkurugrnzi wa Kampuni ya Benchmark Production ambaye ni Chief Jaji Madam Lita akimpongeza kijana huyo baada ya kuibuka mshindi |
![]() |
| Hawa ndio walioingia tatu bora ya fainali hizo Walter, Salma na Wababa |
![]() |
| Salma na Walter walifanikiwa kubaki wawili na kuchuana |
![]() |
| Wasanii hawa walipendeza na waliimba nyimbo zuri siku hiyo Linah na Amini mpo juu nimewakubali kwa vitu vyenu. |
![]() |
| Majaji wa shindano hilo ndio hao Salama, Madam Lita na Master J |
![]() |
| Mashabiki waliohudhuria fainal hiyo. |








No comments:
Post a Comment