Pages

Monday, November 19, 2012

WASANII WALIONG'ARISHA TAMASHA LA TUZO ZA AMERICA MUSIC AWARDS
Rapa Nick Minaj akishukuru kwa tuzo ya msanii bora wa Rap/Hip-hop wakati wa tamasha la 40 la tuzo za American Music Awards
Justin Bieber akiwa na tuzo yake ya msanii bora wa kiume wa Pop/Rock

Wasanii wengi waliweza kupokea tuzo zao mbalimbali baada ya kuibuka washindi, Tamasha hilo lilifanyika katika ukumbi wa Nokia Theatre mjini Los Angeles,California Maerkani

No comments:

Post a Comment