Pages

Wednesday, October 31, 2012

HALI YA UPATIKANAJI MAFUTA SONGEA NI TETE

Msululu wa waendesha pikipiki wakiwa wamepanga foleni katika shell ili kupatiwa huduma ya nishati ya mafuta ambayo kwa sasa imekuwa shida mkoani humo.

No comments:

Post a Comment