Pages

Saturday, September 8, 2012

WAFANYABIASHARA WA SAMAKI WAKIWA FERI WAKISUBILI  MNADA WA SAMAKI BAADA YA WAVUVI KUTOKA KUVUA  ENEO LA BAGOMOYO SOKO LA SAMAKI.

























Katika mahojiano baadhi ya wavuvi hao walidai wanapovua samaki wanawaweka chini katika michanga kama inavyooneka hapo ni kutokana na ukosefu wa soko zuri la kuwawezesha kuwatunza vizuri, hivyo imelazimika wanunuzi kufika hapo mchangani na kununua samaki hao wakati wa mnada.

No comments:

Post a Comment