TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Monday, July 30, 2012


Rais Kikwete akisalimiana na viongozi wa Madhehebu mbalimbali ya dini walipokwenda kufuturu futali iliyowaandalia Ikulu.

Saturday, July 28, 2012

MASHINDANO YA OLYMPIC YAANZA RASMI UINGEREZA LEO


WARATIBU WA SENSA NGAZI YA WILAYA MKOA WA MOROGORO WAPATIWA MAFUNZO YA MAANDALIZI YA SENSA.




















Zaidi ya Waratibu 250 wa sensa wakimsikiliza kwa makini mkuu wa mkoa huo Mhe. Joel Bendera katika  mafunzo juu ya maandalizi ya Sensa ya watu na Makazi itakayofanyika August 26, 2012.

Saturday, July 21, 2012

MANCHESTER UNITED YATEMBELEA AFRIKA KUSINI


Wachezaji wa Manchester united wakifurahia kucheza na joka walipotembelea Africa Kusini





SPIKA WA BUNGE ATEMBELEA ZANZIBAR KUTOA POLE ZA TUKIO LA AJALI YA MELI

Spika wa bunge la Tanzania Mh. Anne Makinda akisalimiana na Risi wa Zanzibar Mh. Dr Ali Mohamed Shain mara baada ya kuwasili visiwani Zanzibar